Kiukweli Tanzania tunajitahidi sana kwa kuwekeza kwenye elimu na kuhakikisha watoto wetu wanafikia malengo katika maisha yao
Lakini ziko baadhi ya shule haswa zilizopo Vijijini bado zinahitaji nguvu za ziada katika kuboresha elimu na mazingira kwa ujumla, Leo Mtu wangu nimetembelea katika Wilaya ya Namtumbo iliyoko Mkoani Ruvuma nikakutana na hii shule ya Msingi Namtumbo yenye wanafunzi 695 na walimu 19 mazingira ya shule bado hayavutii na chakushangaza zaidi shule ina choo kimoja tu! na nyumba tatu za walimu na mpaka sasa walibu bado hawajajengewa choo..
Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Namtumbo akizungumza na Millardayo.com
Wanafunzi wa shule ya Msingi na Namtumbo
Hapa wanafunzi wakiingia shuleni
Hili ndio Darasa kwa muonekano wa ndani
Wanaunzi wakiingia darasani tayari kwa masomo
Mwalimu Mkuu akiwa nje ya ofisi yake
Choo kinachotumika na wanafunzi wa shule ya Msingi Namtumbo
BOFYA HAPA CHINI KUCHEKI VIDEO YAKE!
VIDEO
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Thursday, July 30, 2015
Post a Comment